iqna

IQNA

diplomasia ya qurani
Diplomasia ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Kuanzisha Shirikisho la Kimataifa la Mashindano ya Qur'ani Tukufu kutakuwa miongoni mwa mada ambazo zimejadiliwa katika mkutano wa kimataifa uliofanyika leo Tehran, mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3478157    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/06

Diplomasia ya Qur'ani
IQNA – Mji mkuu wa Jamhuri ya Kiisalmu ya Iran, Tehran umeratibiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa kimataifa wa Qur'ani Tukufu baadaye wiki hii ambao  lengo la lake niuendeleza na kuimarisha diplomasia ya Qur'ani.
Habari ID: 3478125    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/01

Harakati za Qur'ani Kimataifa
TEHRAN (IQNA) - Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Malaysia amesema nchi hizo mbili zinatarajia kuendelea kutumia 'Diplomasia ya Qur'ani Tukufu' kwa ajili ya kuimarisha uhusiano wa pande hizo mbili.
Habari ID: 3476435    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/20